Mavokali x Jux - Wapo (Official Audio)
Mavokali Mavokali
325K subscribers
459,684 views
0

 Published On Premiered Oct 6, 2023

WAPO LYRICS

Nishajipa sasa mi stress za nini
Nishajipata nipeni nafasi
Matumizi ya kwangu nyie inawaudhi nini
Kelele za nini jama inawauma nini

Wewe una wako, mimi nina wangu
Wivu wa nini, wivu wa nini
Pesa za kwako, mimi nina zangu
Chuki za nini, chuki za nini Ahyaaaaa

Kelele kelele keleleeh
Wanahoji kwanini, wanahoji kwanini

Kelele kelele keleleeh
Wanauliza kwanini, wanahoji kwanini



Wabaya wapo, wapo, wapo
Wabaya wapo usione awaongei
Wabaya wapo, wapo, wapo
Wabaya wapo usione awaon


Mmh , kuna nyinyi alafu kuna yeye baba
Kuna mimi alafu kuna wewe eeeh
Kama yako, yako ipo siku utapata
Now is my time mimi nimejipata

Hivi sasa nina trip za bubai
Na Magoma yana hit everyday
Cha ajabu baba
God uwaga akosei simnaona
Na nilivyomnyonge wala siongei
Wanaficha kete sipotei
Na hata pande zao uwaga sitokei
Hutoniona mmmh mmmh


Wabaya wapo, wapo, wapo
Wabaya wapo usione awaongei
Wabaya wapo, wapo, wapo
Wabaya wapo usione awaon



Kelele kelele keleleeh
Wanahoji kwanini, wanahoji kwanini
Kelele kelele keleleeh
Wanauliza kwanini, wanahoji kwanini


[email protected]

show more

Share/Embed