Kilio cha diaspora kupata hadhi maalumu chasikika
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
76 views
0

 Published On Jul 5, 2024

Kilio cha diaspora kupata hadhi maalumu pamoja na kumiliki ardhi bila kikwazo, kimesikilizwa baada ya Serikali kuja na mapendekezo ya mabadiliko ya sheria za uhamiaji pamoja na sheria ya ardhi ambayo yatawasilishwa katika bunge lijalo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

show more

Share/Embed