VITASA | Abraham Ndauendapo vs Alfred Lamptey | Mo Boxing 30/09/2022
Azam TV Azam TV
2.77M subscribers
11,216 views
75

 Published On Sep 30, 2022

Hizi hapa raundi zote nane za pambano kali kati ya Abraham Ndauendapo kutoka Namibia dhidi ya Alfred Lamptey kutioka nchini Ghana ambaye ndiye aliyeibuka na ushindi wa pointi.

Ni katika #UsikuWaVitasa #MoBoxing kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, Septemba 30, 2022 likiwa ni pambano la utangulizi kuelekea pambano kuu kati ya Ibra Class vs Alan Pina.

show more

Share/Embed