RAS MKOA wa ARUSHA AJIBU ALIPO RC MAKONDA - AFYA YAKE kwa MARA ya KWANZA KUPITIA GLOBAL TV....
Global TV  Online Global TV Online
4.99M subscribers
159,297 views
554

 Published On Premiered Jul 26, 2024

RAS MKOA wa ARUSHA AJIBU ALIPO RC MAKONDA - AFYA YAKE kwa MARA ya KWANZA KUPITIA GLOBAL TV....

Ni wiki mbili zimepita tangu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, RC Paul Makonda hajaonekana hadharani katika shughuli zake kama Mkuu wa Mkoa.

Makonda anajulikana ni Mkuu wa Mkoa machachari asiyeishiwa mipango mikubwa ya kuwatumikia wananchi kwa nafasi aliyopewa na Rais Samia Suluhu ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha; siyo mtu wa kukaaa kimya muda wote huo.

Mara ya mwisho alionekana hadharani tarehe 13 na 14 ya Julai mwaka huu kwenye shindano lake la kuendesha pikipiki katika Viwanja vya Laki Laki- Kisongo jijini Arusha.

GLOBAL TV imezungumza na Katibu Tawala Mkoa wa Mkoa wa Arusha RAS Missile Mussa ambaye yeye ni msimamizi wa shughuli zote za mkoa kuhusu alipo RC Makonda na hali yake ya kiafya kwa sasa...FUATILIA ZAIDI GLOBAL TV...

CREDIT: @Korumba_Lebabazi

Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7



============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

show more

Share/Embed