Magoli yote ya Saidi Ntibazonkiza kwenye NBC Premier League 2022/23
Azam TV Azam TV
2.77M subscribers
34,004 views
190

 Published On Jul 5, 2023

MAGOLI YA SAIDO: Haya hapa magoli 16 kati ya 17 aliyofunga Saidi Ntibazonkiza kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu uliomalizika wa 2022/23. Je, ni lipi kali zaidi kati ya haya?

Kati ya 17 aliyofunga msimu huo….
Magoli manne (4) ameyafunga akiwa Geita Gold.
Magoli 13 ameyafunga akiwa Simba SC
Magoli mawili (2) amefunga kwa penati
Magoli matatu (3) amefunga kwa ‘free-kick’.
Amefunga #hattrick mbili….
Magoli 8 amezifunga timu mbili pekee (TZ Prisons na Polisi Tanzania)
Magoli 13 aliyofunga akiwa Simba amezifunga timu tano pekee (Prisons, Mbeya City, Singida BS, Polisi TZ na Coastal Union)

Pata burudani kutoka kwa ‘Godfather wa Bujumbura’

show more

Share/Embed