RIPOTI YA AZAM TV KUHUSU UKARABATI WA VISIMA SINGIDA
ESTL Tanzania ESTL Tanzania
238 subscribers
44 views
0

 Published On Premiered Nov 7, 2023

Shirika Lisilo la Kiserikali la ESTL Limefanya Kampeni ya Uhamasishaji wa Utunzaji wa Vyanzo vya Maji Katika Manispaa ya Singida lengo likiwa ni Kudhibiti Shughuli za Binadamu karibu na vyanzo hivyo jambo linalopelekea Ukosefu wa Maji ya Uhakika kwa ajili ya Matumizi ya Kila Siku.

show more

Share/Embed