Highlights | Gor Mahia 1-0 AFC Leopards | FKF Premier League 21/04/2024
Azam TV Azam TV
2.77M subscribers
19,438 views
198

 Published On Apr 21, 2024

MASHEMEJI DERBY | Goli pekee la Austin Odhiambo limeipa Gor Mahia alama tatu muhimu dhidi ya AFC Leopards katika mchezo wa #MashemejiDerby uliopigwa leo kwenye Dimba la Nyayo, Nairobi, Kenya.

Katika mchezo huo, Gor Mahia walilazimika kucheza pungufu kwa zaidi ya dakika 50 baada ya golikipa wake Kevin Omondi kutolewa kwa kadi nyekundu.

Tazama highlights...

show more

Share/Embed