Rais Ruto afuta ahadi kuongeza mishahara
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
163 views
0

 Published On Jul 3, 2024

Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuangaliwa upya kwa mapendekezo ya nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa serikali ambayo yalijumuishwa katika muswada mpya wa fedha ulioondolewa baada ya kulalamikiwa na wananchi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

show more

Share/Embed