HAFLA YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA UOKOAJI KWA VIKOSI VYA UOKOAJI PAMOJA NA JAMII
Sukos Foundation Sukos Foundation
996 subscribers
111 views
1

 Published On Premiered Jun 11, 2024

Taasisi ya Sukos Kova Foundation kwa kushirikiana na Peaceland Foundation imeikabidhi Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Boti ya Uokoaji katika Maji (Marine Rescue Boat) pamoja na vifaa mbalimbali vya uokoaji katika maji ikiwemo Jaketi okozi “Life Jackets” kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kukabiliana na Maafa na Majanga nchini Tanzania. Hafla hiyo imefanyika mnao tarehe 9.6.2024 jijini Dar es Salaam.

show more

Share/Embed