NIGUSE - KKKT - Keko Vijana Kwaya KvK
ELCT - Keko Lutheran Youth Choir-KvK Official ELCT - Keko Lutheran Youth Choir-KvK Official
33.5K subscribers
35,721 views
131

 Published On Sep 3, 2019

Yule masikini kipofu aliomba mguso wa Yesu ili apate kuona macho ya mwilini, lakini inawezekana na wewe ni kipofu wa macho ya mwili na ya rohoni, basi kwa ujumbe wa wimbo huu hebu Yesu aoite akufungue ukaone. Kumbuka Mungu anamponya mwenye uhitaji wa kuponywa. kama na wewe ni mhitaji kweli Bwana akuguse uone tena.

show more

Share/Embed