ODAMA - LOVE STORY
LUCAS LUMBASI SIMULIZI LUCAS LUMBASI SIMULIZI
26.4K subscribers
31,645 views
561

 Published On Feb 15, 2024

ODAMA ni binti ambaye alitamani saana kufanya kazi kwenye hoteli ya five stars, ili atimize ndoto zake, alipata nafasi ya kuonana na boss wa hiyo hoteli na akamwambia anaweza akapata nafasi kwenye hiyo hoteli, ila katokea kumpenda na anamhitaji kimapenzi ndipo ampe kazi, ODAMA alikubali na akampa penzi, Je! kipi kilichofata? maamuzi aliyochukua Boss yanaifanya story hii iwe tamu na yakuvutia.

ungama nami LUCAS LUMBASI katika simulizi hii ya ODAMA

show more

Share/Embed