Vita ya maneno ya mabondia Said Mkola, Said Bwanga
Azam TV Azam TV
2.68M subscribers
2,920 views
0

 Published On May 11, 2024

Mabondia Said Mkola na Said Bwanga wamekutana ndani ya studio za Azam TV na kutunishiana misuli wenyewe kwa wenyewe huku kila mmoja akitamba kwa namna yake.

show more

Share/Embed