Mgeni mwingine aliyealikwa FIESTANI 2016 Dar es salaam alikua Jose Chameleone kutoka Uganda, ni moja ya majirani ambao nyimbo zao huvuka mpaka na kuwashika Watanzania wengi