HOT SCENES MASKANI NA TIFFANY STORE , BALQIS NJUKI & GABO ZIGAMBA
Gabz Media Gabz Media
37.6K subscribers
644 views
7

 Published On Apr 8, 2022

Kipindi Cha Maskani kinawakutanisha watu mbalimbali katika Jamii kwa lengo la kuzungumzia Mada zenye kufundisha, Kuelimisha, Kuburudisha na Kutambua Vitu ambavyo Huvifahamu.
Kama ilivyo maana halisi ya neno Maskani, sehemu ambapo watu hukutana, kukaa na kuzungumza mambo mbalimbali.
Kipindi hiki kinalenga kufata maadili yote ya utangazaji yanayoendana na sera na sheria za utangazaji nchini, bila kwenda kinyume na utaratibu wa nchi.
Kaa karibu na chaneli yetu ya @GABZMEDIA ili usipitwe na uhondo huu wa MASKANI


SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL :    / @gabzmediaproduction  

Follow Us On
Twitter : https://twitter.com/maskanilife?s=21
Instagram : https://instagram.com/maskanilife?utm...

show more

Share/Embed