Alikiba ala dili nono; afunguka haya mbele ya Rais Samia
Mwananchi Digital Mwananchi Digital
1M subscribers
144,604 views
1K

 Published On Premiered Mar 20, 2023

Mwanamuziki wa Kizazi Kipya Ally Kiba ameingia kwenye Sekta ya Kilimo ambapo kwa sasa kupitia taasisi yake ya Ally kiba Foundation amekuwa miongoni mwa waliosaini Makubaliano ya Ushirikiano na Wizara ya Kilimo.

Wakati akimpokea Rais Samia leo Machi 20, 2023 Ally akawa na Haya ya Kueleza.

show more

Share/Embed