AIBU YANGU | Full Movie
Adam Leo Studios Adam Leo Studios
146K subscribers
34,050 views
404

 Published On Jul 8, 2024

AIBU YANGU | Full Movie

Ni filamu inayoelezea maisha ya mwanadada Hidaya ambaye anakata kuolewa na mpenzi wake wa muda mrefu Adam, kitu kinachopelekea shoga yake Zai kuona mwanya huo na kuutumia kumnasa shemeji yake kimapenzi

Fuatilia kisa hiki kizuri na usiache ku subscribe, ni filamu yenye mafunzo mazuri sana.

#film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #aibuyangu

show more

Share/Embed