video:Lakini hata sasa (Nirudieni mimi) Chang'ombe Catholic Singers Kwaresma, Aloyce Goden Kipangula
Aloyce Goden Kipangula Aloyce Goden Kipangula
91K subscribers
1,347,161 views
3.3K

 Published On Jan 24, 2017

Maneno ya wimbo
Kiitikio:
Lakini hata sasa asema Bwana nirudieni, mimi kwa mioyo yenu yote x 2
Mashairi:
1. Fanyeni mabadiliko mioyoni mwenu, kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza - nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote.

2. Pigeni Tarumbeta huko Sayuni, waambieni watu wote ili wafunge - nirudieni mimi...

3. Kusanyeni watu wote waleteni kwangu, waleteni na watoto hata wazee - nirudieni mimi ...

4. Mpingeni yule mwovu atawakimbia, nikaribieni nami nitawakaribia - nirudieni mimi ...

5. Takaseni mikono yenu iliyojaa dhambi, safisheni mioyo yenu yenye nia mbili - nirudieni mimi ...


#changombecatholicsingers #aloycegolden #mtakatifumikaelimalaikamkuu

show more

Share/Embed