“Mwana FA” aahidi Serikali kuendeleza zaidi michezo ili kuongeza ajira
UTV Tanzania UTV Tanzania
78.3K subscribers
50 views
0

 Published On Jul 3, 2024

Serikali imesema imedhamiria kuinua vipaji vya michezo kwa vijana kwa kuwawezesha  kucheza  kwenye mfumo rasmi ili kusaidia kupata ajira kwa wepese.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma wakati wa fainali za mashindano ya Mzava Cup yaliyofanyika wilayani Korogwe mkoani Tanga.

Imeandaliwa na Mariam Shedafa || Mhariri @moseskwindi

show more

Share/Embed