Annoint Amani - Nina jina kubwa / Diamond Platnumz & Harmonize Feki ( official music video )
Annoint Amani Annoint Amani
285K subscribers
63,919 views
508

 Published On Mar 24, 2024

#Diamond platnumz#harmonize#zuchu#Alikiba#

Nikweli tunafanikiwa sana duniani ,lakini je ? hayo ni mafanikio ya kweli ?,maana hapa duniani hatutaishi milele ,hilo linaeleweka kuwa kila alie hai atakufa siku moja,
Umejiandaaje na huko tuendako baada ya kufa ,maana vyote tunavyo vipigania hapa duniani,ni vya hapa hapa na tutaviacha vyote,)

👇

( inawezekana ukafanikiwa hapa duniani na huko mbele haki, Lakini ni lazma ukwepe pesa ya aibu yani pesa itokanayo na mambo yasiyo mpendeza Mungu ,

kama pesa yako haitokani na dhambi,bas umefanikiwa Daniani na mbele za Haki ,

Mtafute Mungu maadam bado unaishi ,ukiwa huna nafasi tena 🙏)

👇

MTUNZI NA MWANDISHI ANNOINT AMANI

SONG,NINA JINA KUBWA ,

Annoint Amani For booking
Instagram Annoint Amani,
Tiktok Annoint Amani tz, +255767240181=+255755099942)


Directed by Kheri one Brand Hanscana
( +255693 354 566 Tz)

Audio,A.E.A Tones studio producer by Meddy

Dar Es salaam Tanzania )

show more

Share/Embed