Subscribe -_- Oteshatime Tanzania
OteshaTime Tanzania OteshaTime Tanzania
669 subscribers
46 views
3

 Published On Mar 9, 2023

‪@OteshaTime_Services‬
Tunafanya matangazo ya aina zote kwa video , picha na audio.

Ni nani anaependa sherehe nzuri lakini kumbukumbu mbaya..?
Hakika watu wengi tunapenda sherehe nzuri na kumbukumbu nzuri , nje ya hapo ni kuvunjika moyo.

Kumbukumbu nzuri huifadhi matukio yanayoweza kuboresha na kudumisha upendo, urafiki, furaha na kurudisha amani iliyopotea muda mrefu.

Huduma zingine kwa upande wa picha na video.
• Birthday √
• Engagement √
• Send off √
• Wedding √
Ni kwa bei na nafuu
Mawasiliano zaidi +255 712 128 863

show more

Share/Embed