Haikuwa Rahisi: Simulizi ya DJ Ally B - Umaskini hadi kuwa DJ anayelipwa zaidi Tanzania (Part 1)
Simulizi Na Sauti Simulizi Na Sauti
1.39M subscribers
56,491 views
840

 Published On Sep 22, 2021

Kama wewe ni mhudhuriaji wa sehemu za starehe kwenye viwanja vinavyopendwa Tanzania, huenda ukawa umeshabahatika kumuona #DjAllyB akifanya yake. Tofauti na Madj wengi wenye majina, Ally kwa sasa ndiye Dj anayetafutwa zaidi kwaajili ya kutumbuiza kwenye clubs nyingi katika mikoa karibu yote.

Hapumziki, anafanya tour zaidi ya waimbaji. Na huenda kwa sasa ndiye Dj anayeingiza mkwanja mrefu zaidi. Amefikaje hapa? Fuatilia historia yake

#HaikuwaRahisi

show more

Share/Embed