Rais Samia afunguka uchunguzi timu ya siti mgomo Kariakoo
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
59 views
0

 Published On Jul 5, 2024

Timu ya uchuguzi iliyoundwa kwa siri na Rais Samia Suluhu Hassan imebaini kuwa mgomo ulioitishwa hivi karibuni na wafanyabiashara wa Kariakoo uligubikwa na masuala ya siasa na hivyo amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo kukahakisha anaweka mazingira rafiki ya biashara ili kuondoa misigano isiyokuwa na tija.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

show more

Share/Embed