JINSI YA KUTUMIA TIK TOK KWA WASIOJUA /TIK TOK FOR BEGINNERS
Ms Lisa Marie Ms Lisa Marie
3.89K subscribers
33,683 views
665

 Published On Apr 22, 2020

Habari wapendwa,
Leo nmetengeneza video iliyoombwa na watu kadhaa, Jinsi ya kutumia tiktok. Hii ni kwa watu wasiojua kabisa maana imekua app inayotumika sana kipindi hiki cha karantini. Kama ungependa niwafundishe zaidi toa maoni yako chini. Na pia toa mapendekezo ya video ambazo ungependa kuona.


Tembelea kurasa zangu za mitandao:
Instagram:   / mel.anin__  

Twitter: melanin🖤

Kwa biashara kama brand collaboration na products reveiw pamoja na give away: [email protected]

Wako mtiifu
Lisa Marie.

show more

Share/Embed