Published On Aug 9, 2020
Msanii Harmonize amesimulia kisa chote kilichopelekea yeye kuachana na mkali wa Bongo movie @wolperstylish kwa mujibu wa Konde boy, amedai kuwa Wolper alikuwa akimuhitaji msanii @diamondplatnumz na aliahidi mpaka kumzalia watoto, lakini jambo linalomuumiza zaidi konde ni tabia ya Wolper kumsema vibaya mke wa Harmonize mrembo SARAH
show more