LIL FELLY (MakaFelly) - BEST RAPPER IN KENYA (kovu) [YOUNG DREAMER]
LIL FELLY LIL FELLY
6.82K subscribers
8,547 views
434

 Published On Premiered Mar 4, 2020

Young DreaMer EntertainMent Presents ''Best Rapper in Kenya''
Stream Lil Felly music here ; https://linktr.ee/LilFelly

FOLLOW LIL FELLY
  / lilfelly   @LilFelly
  / lilfelly   @LilFelly
  / lilfelly   @LilFelly
  / lil_felly   @lil_felly

FOR BOOKINGS ; SHOWS, INTERVIEWS, COLLABOS.
Contact +254721-520-502 [Calls Only]

YOUNG DREAMER ENTERTAINMENT (Record Label)
  / youngdreamerent  
  / youngdreamerent  
  / youngdreamerent  

Audio By Batoz & Young DreaMer EntertainMent
instruMental By Alex Vice (On Kuvu By Scar Mkadinali)


"GOD BLESS YOUNG DREAMER"
''GOD IS THE GREATEST''.-LIL'FELLY
#YoungDreaMerEntertainMent #YoungDreaMer

BEST RAPPER IN KENYA [LYRICS] - LIL FELLY
Yeah,
Lil Felly MakaFelly aaah,
Young DreaMer Money Gang,
Checkin',

Jina yangu kubwa hata utumie herufi ndogo,
Saahii nimekafunga nikaa na kinda figo,
Mi' ndo best rapper nyi' wengine jo kalongo,
Hata mbebwe na nonini bado mko nyota ndogo,
Nyi' watoto wa mama bahati ndio mnategemea,
Saahii na spend daily buda mkisave kaa De Gea,
We' jifanye mbwa jo nigeuke Cholmondeley,
Nakaa na share fan na any rapper jo tembea,
Juu mi' ndio G.O.A.T nigga hao wengine ma mbuzi,
Nitawafanya vile Blanco walifanya jacuzzi,
Nakama kawa sijai jichocha na Mbogi
Mi' umanga dem solo anadhani ni kombi,
So far hakuna rap inaeza beat hii,
Kenya mi' pekee ndiye naeza kula B.E.T
Juu nishaa deliver nyi' wengine pusha-T,
Na vile mi' uchafua hadi wasafi wametii,
So usiwahi ni Cross nigga ama utasulubiwa Juu,
Bila kuanikwa bado utaanuniliwa,
Rende ya nini mi' mwenyewe ni rong,
Hakuna shawty siezi manga buda mbaka wasom,
So hata huddah afunge duka Mi' lazima ni shop,
Nimekafunga kama lato Saa hii maziwa ni mob,
It's YOUNG DREAMER MONEY GANG saahii silii msoto,
Ambia producer anipe ngoma au studio ipigwe koto,
Check!
Usiwahi nisho pandisha toja utakula copper,
Ni we' na sema nawe nigga uliza Khadija Koppa,
Ndakuchafua na sabuni ibaki huwezi oga juu,
Ukiona tu sabuni nigga una ogopa,
Nakaa umebetia hawa marapper buda cash out,
Juu kila song saahii natoa jo ni knock out,
Na hawa marapper ujichocha wamesota bila doubt,
Peleka rapper chicken inn uone aki chicken out,
Kwanza mwenye unaaminia ye' uniinamia,
Ndo maana buda saahii collabo jo ni ngiri mia,
Auskii natesa nikaa natoka huko saudia,
Na sioni nikidedi juu madem washaa nifia,
So wale few hawanipendi mi' sijali hata,
Kuwaroga nitawaroga ki Obachi Machokaa,
Nakaa hii sura yangu mbaya nitajigamba na ya Kenyatta,
Check!
Kaa unasaka best rapper unamskiza sasa,
Madiwa City ishaa kubali we' ni nani sasa?
Unaeza niita Vietnam vile nawatesa,
Nasiachi mpaka willy Paul arudi kwa kanisa,
Nilikuwa mnoma hata kabla sija hosa,
Bado mi' ni ngori mi' uangushwa na producer,
Lakini haina worry nitaraushwa na vipusa,
Nakaa haubongi pesa jo micasa si sucasa,
We' pandisha toja kama boxer haifiki thao,
Mi' hata bila boxer jo ndasagg madharau,
Nijuzi umekam bro na tushaa kusahau,
We' pimisha ndechu juu ulitupa mbao,
Ni kamwana mwa kathuku ka naku Kilungu, (ni kijana hatari kutoka kilungu)
Mundu ndonya ukia mwa kasee no Mulungu, (Mtu naeza ogopa ni Mungu)
So ambia kila rapper aseduogo (Nimerudi),
Na round hii ni ngori omera onge tugo (Hakuna mchezo),
Nikinyambisha mbaka pozze anachuchumaa,
Mi' huwazima tu na hewa ki mshumaa,
Fresh barz anyday sio lazima ijumaa,
Na mihadarati siwezi acha mi' hapana kijanaa,
Hawa marapper kiporo,
So inabidi wapashwe,
Nimejipin kikolo,
Leta nare kiwashwe,
Zinishike jo aluta ki Ochungulo,
Alafu nimange Bey-T
Mpaka awike wololo,
Saahii jo nimerudi so inabidi mtoke teke,
Figa kaa si number nane shawty mi' uipigia teke,
mpira mi sipendi mi' hapana Joe kadenge,
Na nikilala ndani naeza jaza hadi njege.
Check!
Yeah mayne checkin',
Yeah Lil Felly Makafelly aaah,
Yeah, The best rapper alive mayne,
The best rapper in Kenya mayne,
You already know what time it is mayne,
It's 2020 nigga
Yeah, Young DreaMer mayne,
Mayne you better recognize,
Shoutout to all my fans out there,
Young DreaMer for life,
God is The Greatest.

#YoungDreaMerEntertainMent

show more

Share/Embed