UJENZI na LCH02 | FAHAMU NAMNA YA KUTIBU FANGASI KWENYE UKUTA
The Builders Home Tz The Builders Home Tz
8.18K subscribers
18,651 views
126

 Published On Oct 24, 2020

Kuna aina mbili za maji yanayo athiri ukuta, maji yanayo panda kutoka chini ardhini na maji yanayotoka nje nakuingia ndani.
leo tumezungumzia namna yakutibu kuta zilizo athriwa na maji yanayotoka chini na kuingia ndani hivyo kuathiri kuta mfano rangi kubanduka nakadhalika.

Kwa mahitaji ya huduma hii tuwasiliane kwa Simu/Whatsapp; 0716573079

instagram; @lchbuilders
intagram; @thebuilderhometz_

show more

Share/Embed