Wapelelezi wa DCI wamtambua mwanadada anayeaminiwa kuua Eric Maigo
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
5.22M subscribers
698,216 views
3K

 Published On Sep 22, 2023

Wapelelezi wamemtambua mshukiwa mkuu wa mauaji ya kaimu mkurugenzi wa fedha katika Nairobi hospital Eric Maigo. Sasa imebainika kuwa anne adhiambo, ndiye mwanamke aliyenaswa kwenye kamera za CCTV akitoroka baada ya mauaji ya Maigo. Wapelelezi waliokuwa wanaendeleza uchunguzi wamepata nguo alizokuwa amevaa wakati wa tukio nyumbani kwake mtaani kibra.

show more

Share/Embed