Ndugai: Kuna siku nchi itapigwa mnada
Mwananchi Digital Mwananchi Digital
1.02M subscribers
480,858 views
2.6K

 Published On Dec 28, 2021

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema tozo za miamala ya simu zilipitishwa ili nchi iweze kutekeleza miradi yenyewe, badala ya kutegemea mikopo ambayo imekuza deni la Taifa kufikia Sh70 trilioni.

Amesisitiza haiwezekani miaka 60 baada ya uhuru nchi bado iwe ya kutembeza bakuli.

“Kipi bora, sisi Watanzania kuzidi kukopa na madeni au tubanane hapahapa tujenge wenyewe bila madeni haya makubwa makubwa yasiyoeleweka, ni lini sisi tutafanya wenyewe na vipi?

“Tutembeze bakuli, ndiyo heshima kisha tukishakopa tunapiga makofi…, kuna siku nchi itapigwa mnada hii,” Spika wa Bunge, Job Ndugai

show more

Share/Embed