SHAJARA || Uchambuzi juu ya mabadiliko ya viongozi sekta ya biashara
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
57 views
0

 Published On Jul 3, 2024

Mabadiliko yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye nafasi ya Waziri wa Viwanda na Biashara na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) yamepokelewa na wafanyabiashara kwa matumaini mapya ya kumalizwa kwa changamoto za kikodi na kibiashara zinazowakumba.

Na leo tunaangazia hayo mabadiliko.

show more

Share/Embed