MY DREAM - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
Ankojay Simulizi Ankojay Simulizi
87.8K subscribers
64,782 views
1.2K

 Published On Dec 12, 2023

Binti anaeitwa Tecla ni mzaliwa wa nchini Kenya mjini Mombasa ni mzaliwa pekee katika familia yao, hana ndugu yoyote zaidi ya huyo mama yake ambaye ni marehemu kwa sasa. tangu Tecla amezaliwa hajawahi kumuona baba yake wala ndugu wa upande wa mama yake.
lets go Enjoy hii simulizi tamu ya mapenzi
‪@ankojay_‬

show more

Share/Embed