Nyimbo pedwa na Bora zaidi za Bikira Maria // The Best and beautiful songs
Mawaridi Media Mawaridi Media
11.9K subscribers
110,180 views
0

 Published On May 5, 2024

Asante sana Kwa kufungua na KUSIKILIZA nyimbo za Bikira Maria naomba usisahahu kugusa alama ya SUBSCRIBE ILI kuweza kujumuika nasi na kupata TAARIFA ZOTE na mkusanyiko wa nyimbo MBALIMBALI kutoka KATIKA channel yako pendwa ya #Mawaridimedia

Nawakumbusha kuendelea kusali Rozari ya Fatima kwasababu huu ni mwezi wa Rozari mwezi wa 5 na mwezi wa 10 kwasababu tunajipatia neema nyingi kupitia kusali Rozari takatifu
Mama Maria muombezi wetu tunaomba uweze kutujalia neema na baraka tele kutoka Kwa mwanao Bwana Yesu Kristu

NB: NAOMBA USISAHAU KUGUSA ALAMA YA SUBSCRIBE ILI TUWEZE KUINJIRISHA KWA PAMOJA

show more

Share/Embed