Published On Jul 2, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi Wakizungumza na Waandishi wa Habari, leo tarehe 02 Juni, 2024 Ikulu Dar es Salaam. Rais Nyusi yuko nchini kwa Ziara ya Kiserikali.
show more