Padre Dkt Kamugisha: Mafundisho Hija Nyakijooga: Asiyepoteza Haokoti
Faustin Kamugisha Faustin Kamugisha
21K subscribers
7,157 views
83

 Published On Premiered Nov 13, 2023

Ni mafundisho ya mada katika mkesha wa Hija katika kituo cha Hija kwa heshima ya Bikira Maria wa Lurdi katika kituo cha hija Nyakijooga, Parokia ya Mugana jimboni Bukoba.

Mada iliyowasilishwa ni "Asiyepoteza haokoti" imetolewa na Paroko wa Parokia ya Mt Yohana Maria Muzeyi Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba, ambaye pia ni msimamizi wa Kituo cha Hija Minziro Jimboni Bukoba.

show more

Share/Embed