TANZANIA YAJIVUNIA MAENDELEO YA KIDIJITALI KUPITIA MRADI WA TANZANIA YA KIDIJITALI
Wizarahmth TV Wizarahmth TV
251 subscribers
73 views
3

 Published On Aug 27, 2024

Tanzania inajivunia hatua ilizochukua za kuziba pengo la kidijitali nchini kwa kuongeza upatikanaji wa huduma bora za mtandao wa kasi kwa taasisi za Serikali na kwa umma kwa ujumla kupitia utekelezaji wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed Khamis Abdulla ameyasema hayo leo Agosti 27, 2024 akifungua kikao cha tathmini ya utekelezaji wa mradi huo kinachofanyika kwa wiki nzima jijini Arusha.

#TzDigitalTransformation #DTP #TzyaKidijitali #KaziIendelee

show more

Share/Embed