"Mimi na Wema Sepetu tunakutana sana” – Diamond Platnumz
Millard Ayo Millard Ayo
5.09M subscribers
676,754 views
0

 Published On Jun 13, 2017

Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview na On AiR with Millard Ayo kuzungumzia ishu mbalimbali za muziki akiwa na kundi lake la WCB ambapo pamoja na maswali mengine, alijibu kuhusu uhusiano uliopo kwa sasa kati yake na aliyewahi kuwa Miss TZ 2006 Wema Sepetu ambapo.

show more

Share/Embed