ELISHA ELAI - TOM FORD
elisha elai elisha elai
7.53K subscribers
1,388 views
120

 Published On Jun 19, 2020

Elisha Elai performing Tom Ford original song by Jay z
Produced by BigbeatsAfriq(Ares66)


FOLLOW
instagram:   / real_elai  
Facebook:   / elisha.elai.7  

LYRICS,

Yeah!! For a very very long time hakuna rapper amefanya chenye nataka kufanya saa hizi wacha ni tangaze, naletanga matatizo venye natatiza  kila season inabakianga mafala wanyamaze, bidii mingi imefanyanga nimepanda juu niko kwa hewa napepea sipatikani kwa compe, wako chini na wanabonga matakataka marapa wenyu ni mortherfucker mbali wasonge, chochote nafanya me huwanga na aminia, huwezi shindana kutembea ukiwekwanga na ngamia, unabishana na mimi na wewe bado ni abiria, venye nafikiria utadhani me niko inje ya dunia, amini bado mimi huwanga ni the beast nikiamua kupelekanga mistari kama machini,Kamili Gado utadhani professor Jay lakini bado kunifikia ni ngumu siati nini, hey G iam the kenyan Jay z, na sikuanzanga juzi toka kitambo meukill, kesi ndio naletanga lately ukiletanga upuzi tunakuzika lively, natokanga teke kama marathoner nafanya  watetemeke venye mistari me huwa  na drop, nachenga marapa kama Maradona mistari zina kuja fasta utadhani  ni merry go round, bado ndio narecover penye nilitoka sijaomoka lakini kusema ukweli na focus, kubeba  matoka ndio upatange  dishi hio ndio mboka mavijana wengi wamededi kama joke, back in the days tukiwanga pale baze tumesota tuna meditate venye tuko broke, nowadays tunakazana ndio tufike far hatutachoka kutafuta mazuri  tuna hope, najiamini si mimi ndafika far, lazima nikazane ndio nikubalike kama star, kila wiki tunatoa ngoma hatutawai zubaa, tunakimbiza masaa vile pia vile inafaa, flow imekubalika venye inakuja yaani kali, me ni faster kushinda Twista mafans wamekubali, ka kuna rapper mkali kunishinda mimi sidhani me ndio kusema me ndio napanga niite serikali, nakimbiza maneno utadhani me sinanga meno, kama nyoka nina venom hii ni sumu kwa maneno, siwezangi sema no saa ya doh me nadai mamita, tulikujanga tukawapata na tukawapita, si ndio kusema piga saluti ukituona tukipita,tunachachisha kila wikendi utadhani kanisa, kila Siku ni biashara kutafuta kila mara, hasira hasara kuja polepole ama utaparara, mwendo wa tara tara na wapeleka, Kayole mpaka pande za Ngara na wabeba beba kila barabara, sijatosheka kuserereka, baraka za baba hazijawahi chelewa zinakwanga pamoja na mimi ndio maana nakwanga nimeaminika na makinika na madakika ma ngiri ngiri mamita najua siku moja ndakuja shika lakini siwezi badili rangi kama Vera sidika na venye natema najua ishakubalika ndafika venye nazidi kupanda na sifika mpaka kule Kampala na tawala tawala senye bado mafala wamelala, niko imara daima, senye bado wamezubaa me huwanga na lima, napandisha jina nimesifika pande zote Nairobi mzima, Elisha elai toka kitambo jina ishajulikana mahater wasonge kando hapa ni mahali mature,  sioni kompe hapa niko solo ni kama me ni jua, Mombasa mpaka kule Lacoste washanitambua, ngoma za kina Willy Pozze haziwezi ku kuwa noma ju wengi wao wanakwanga ni wabana pua, Elisha Elai Toka kitambo kazi nimemaliza kama haujashikanisha you better repeat, nazidi kufanya mambo mahater vidole za kati ni kitambo me nilisha wadefeat, YOU ALREADY KNOW PAVE THE WAY FOR THE KING👑

show more

Share/Embed