Simba 2-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 28/05/2024
Azam TV Azam TV
2.66M subscribers
151,206 views
0

 Published On May 28, 2024

Simba imehitimisha msimu huu wa #NBCPremierLeague kwa kuichapa JKT Tanzania mabao 2-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Magoli ya Simba yamepatikana dakika nne za mwisho, akianza Saidi Ntibazonkiza kwa penati dakika ya 88 kisha Willy Essomba Onana dakika ya 90+2'
Tazama highlights...

show more

Share/Embed