Mwanza: Maajabu ya Mti Kupiga Kelele Ukipinga Kung’olewa
Global TV  Online Global TV Online
5.03M subscribers
6,070,793 views
10K

 Published On May 17, 2017

AMA kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Taarifa zilizosambaa mitandaoni zimeeleza kuwa wakazi na watumiaji wa barabara ya Pasiansi Jijini Mwanza, walipigwa butwaa baada ya kushuhudia kimbwanga ajabu cha mti kutoa sauti kama binadamu ukipinga using’olewe.
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK:   / globalpublishers  
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpublishers  
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  

show more

Share/Embed