Benjamin Mkapa kuenziwa kwa mafunzo ya kukabiliana na Ukimwi Arusha
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
28 views
0

 Published On Jul 5, 2024

Kuelekea kumbukuzi ya Rais wa zamani wa Tanzania, hayati Benjamini Mkapa inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Julai, Taasisi ya Benjamin Mkapa (BMF) kupitia mradi wa USAID AFYA ENDELEVU imetoa mafunzo kwa watunza kumbukumbu wanaoshughulika na masuala ya Ukimwi mkoani Arusha.

show more

Share/Embed