RAIS MWINYI: HAIWEZEKANI HATA SIKU MOJA | SERIKALI INAWEKA DHAMANA ITALIPA.
KTV TZ ONLINE KTV TZ ONLINE
375K subscribers
6,296 views
0

 Published On Premiered Dec 21, 2023

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewatoa hofu Mfuko wa Hifadhi ya Huduma za Jamii Zanzibar, (ZSSF) na kuwataka kuwekeza fedha zao kwenye miradi mikubwa ya Serikali ya kimakakati.

Pia, Serikali imejizatiti kuweka dhamana ya miradi mikubwa ya maendeleo itakayotekelezwa na Mfuko huo pamoja na kuwahakikishia usalama wa fedha zao endapo zitaathiriwa kwa namna yoyote na ujenzi wa miradi hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, aliyasema hayo alipoweka jiwe la msingi la ujenzi wa maegesho ya magari, Malindi Wilaya ya mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi.

Alisema, lengo la Serikali kuweka ujenzi wa maegesho hayo ni kupunguza msongamano wa magari mjini pamoja na kuweka usafiri wa umma wa aina moja na wa kisasa ili kwenda sambamba na mahitaji ya mji kwa wakati uliopo.
.................................................................................................
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.

Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online

Wasiliana nasi kupitia number
+255 717 619 834



Ktv Tz Online Journalists

cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego

Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma

Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali




Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman

   • ALICHOKIFANYA DIAMOND ZANZIBAR HAITOS...  
   • NI KWELI ALI KIBA AMNUNULIA NYUMBA OM...  

show more

Share/Embed