WANAPAROKIA YA TABATA WAPEWA AGIZO LA KUPANUA NYUMBA YA MAPADRE NA ASKOFU MKUU RUWAI'CHI DSM.
KANISANI TV🙏 KANISANI TV🙏
298 subscribers
126 views
0

 Published On Sep 24, 2024

Waumini wa Parokia ya Mtakatifu Padre Pio wapewa maagizo mazito na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Mhashamu Yudda Thaddeus Ruwai'chi OFMcap wakati akitoa Neno katika Adhimisho Misa Takatifu ya Sherehe ya Somo wa Parokia na Utolewaji wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Vijana 68, ambo pia umefanyika Ufunguzi na Kubariki Kanisa dogo la Kuabudia Parokiani hapo.

Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾

show more

Share/Embed