Mh. Diwani Mtinko Bilali Yusuph amshukuru RC wa Singida Mh. Halima Dendego kwa Kuja Mtinko
Dugo TV Dugo TV
22 subscribers
63 views
0

 Published On Aug 12, 2024

Diwani Kata ya Mtinko Mh. Bilali A Yusuph atoa shukrani za dhati kwa Mkuu Wa Mkoa Wa Singida Mh. Halima Dendego kwa kuhitimisha fainali ya Bilali Cup 2024.
ameyazungunza hayo katika sherehe ya mabingwa wa fainali hiyo Muungano FC iliyofanyika Kijiji Cha Mpambaa.

show more

Share/Embed