JINSI YA KUZIBA MADOA YA CHUNUSI USONI
Vivianatz Vivianatz
144K subscribers
434 views
8

 Published On Feb 20, 2024

Hello dear , Asante kwa kubonyeza video hii, video hii itakuelekeza njia rahisi ya kusuka ....,kwa hatua rahisi sana ,endelea kufurahia mafunzo nami.

Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.

Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .

NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?
MONDAY AND FRIDAY at 07:00am
PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA

TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE

KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING
PONYTAIL
   • KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO Puff / D...  
KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)
   • Kubana nywele fupi NZIGA STYLE(natura...  

KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI
   • KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI  

KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI
   • MITINDO TOFAUTI YA LOCS /HOW TO  DIY ...  

KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST
   • KUSUKA DISTRESS LOCS KWA KUTUMIA SELF...  

KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)
   • Kubana nywele Fupi "Hakuna Matata Sty...  

KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=
   • Kusuka Crochet kwa kutumua Rasta za t...  

MAKEUP FOR BEGINNERS
   • Beginner Makeup series  

MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION
   • MITINDO YA MAVAZI /TRY ON HAULS  

MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALS   • Mafunzo Ya Makeup/Makeup Tutorials  

MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW
Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara
Email ; [email protected]

Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia
INSTAGRAM ; https://instagram.com/vivianatz.offic...

Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.

show more

Share/Embed