Zamaradi Mketema afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ndoa yake, Ruge, Clouds na vingine *Exclusive
Dizzim Online Dizzim Online
768K subscribers
469,041 views
2.7K

 Published On Jan 10, 2018

Kwenye Chill na Sky, Zamaradi Mketema anafunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ndoa yake, uhusiano wake na baba wa watoto wake wawili, Ruge Mutahaba, alivyojisikia baada ya Adam Mchomvu na Soudy Brown kuiponda ndoa yake na mengine

show more

Share/Embed