Christina Shusho & Geraldine Oduor- Neno Lako (Final Video)
Geraldine Oduor Geraldine Oduor
34.9K subscribers
260,444 views
0

 Published On Mar 23, 2016

Geraldine Oduor feat. Christina Shusho - Neno Lako
Song Composed & written by Geraldine Oduor
'Thy word is a lamp unto my feet and a light unto my path'....

NENO LAKO.... LYRICS
Geraldine Oduor & Christina Shusho.

Intro)))... Uende mbele. Shika neno lake. Aitimize imani yako. Uende mbele...

Neno lako.. taa ya miguu yangu... na mwanga wangu, mwanga wa njia yangu.....
Nimeapa, nitaifikiliza....... na kulishika, neno lako Bwana.... ×2

1). Ninasahau, yaliyo nyuma yangu, nikiyachumilia, yaliyo mbele yangu..... Nakaza mwendo, niifikilie, mede ya dhawabu ya mwito wangu..... wowowooo

1). Nijapopita, Kati ya bonde la uvuli... Kati ya bonde la mauti, sitaogopa kamwe......
Kwa Maana wewe, U pamoja nami, gongo lako na fimbo yako, vyanifariji..... yeyeyeeehaaa.....

2). Unafundisha mikono yangu vita, ikaupinda upinde wa shaba......
Umenipa ngao ya wokovu wako, unyenyekevu wako baba, umenitegemezaaa......

2). Unahesabu, kutangatanga kwangu, unayatia machozi yangu, katika chupa yako...
Maana wewe (maana wewe)
huponya nafsi yangu (huponya nafsi yangu).... huzuia miguu yangu (Leo) nisianguke kamwe......

show more

Share/Embed