Ataonekana - David Wonder x Nimo Gachuiri(Official video) sms Skiza 5021447 to 811
David Wonder TV David Wonder TV
43.7K subscribers
171,129 views
0

 Published On Premiered Nov 17, 2023

Jeremiah 1:19
They will fight against you but will not overcome you, for I am with you and will rescue you,” declares the Lord. #Ataonekana

lyrics
Verse 1 WONDER

Kwa kushuka na kupanda
Wasiwasi ukinipanda
Utaonekana Bwana
Utaonekana Bwana
Na nikifika mwisho
Mi ninayo thibitisho
Utaonekana Bwana
Utaonekana Bwana
Na sitalia tena tena tena
Naona Umechelewa ila kwako Umefika mapema
Na kwa hii njia sema sema sema
Neno moja tuu na nafsi yangu itatulia tena
Oooh zum zum zum
Wamekuwekea sumu sumu sumu
Haita dumu dumu dumu
Ataonekana soon soon soon
Ooh zum zum zum
Wamekuwekea sumu sumu sumu
Haita dumu dumu dumu
Ataonekana soon eeeh

CHORUS
Ataonekana Bwana
Ataonekana Bwana
Ataonekana Bwana tena
Bwana ATAONEKANA

Ataonekana Bwana
Ataonekana Bwana
Ataonekana Bwana tena
Bwana ATAONEKANA

verse 2 NIMO

Wanataka niabike wafaidike
Nikiomba nisisaidike
Nisisaidike
Njia zangu zilainishe jibainishe
Jionyeshe Ujibainishe
Na Utukuke
Wanadamu kila mtu na taabu zake
Baba usiniache
Wacha nikufuate
Hujawahi nipa mawe nijipange
Ilhali nahitaji mkate
Wacha nikufuate
Oooh zum zum zum
Wamekuwekea sumu sumu sumu
Haita dumu dumu dumu
Ataonekana soon soon soon
Ooh zum zum zum
Wamekuwekea sumu sumu sumu
Haita dumu dumu dumu
Ataonekana soon eeeh

CHORUS

Ataonekana Bwana
Ataonekana Bwana
Ataonekana Bwana tena
Bwana ATAONEKANA

Ataonekana Bwana
Ataonekana Bwana
Ataonekana Bwana tena
Bwana ATAONEKANA


here is the new video

written : #wonder #nimo
audio : Alexis On The Beat
video : Slim Mapoz

show more

Share/Embed