Majina watakaorejea soko kuu la Kariakoo kuanikwa
UTV Tanzania UTV Tanzania
78.3K subscribers
674 views
0

 Published On Jul 5, 2024

Majina ya wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kurejea katika soko kuu la Kariakoo baada ya kukamilika kwa ukarabati wa ujenzi wa soko hilo yanatarajiwa kuwekwa wazi Julai 10 mwaka huu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

show more

Share/Embed