Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
BBC News Swahili BBC News Swahili
606K subscribers
64,200 views
0

 Published On Premiered Jun 19, 2024

Eliud Samwel Mwakasege @eliudsamwel ni msanii mahiri wa vichekesho aliyejpatia umaarufu ndani na nje ya Tanzania kupitia sanaa ya uchekeshaji majukwaani na katika mitandao ya kijamii.

Mwandishi wa BBC @mcdavid_nkya_ amefanya mazungumzo na @eliudsamwel ambaye pia ameelezea kuhusu simulizi za Farida (Aunty Ramota) ambazo zimempa umaarufu mtandaoni

#bbcswahili #tanzania #sanaa

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed