Hamadi ni iliyo kibindoni, silaha ni iliyo mkononi. Mkononi mwetu kwenye #SIFAHCK ni wakongwe waliomsifu Mungu kwa miaka mingi kwa njia ya uimbaji. Barikiwa.