CHANZO MIMI EP 07
RAQIM ORIGINAL FILM RAQIM ORIGINAL FILM
1.18K subscribers
393 views
28

 Published On Nov 26, 2023

#wasafi #clam #kibenten #snakeboy #kicheche #binadamu #panguso


Katika Maisha, yapo Matatizo Mengi ambayo yanatukumba na kutusumbua, wengi hudhani kila tatizo ni muondo wa Shetani, hapana Wakati mwingine sisi ndio hua chanzo cha Tatizo au Matatizo,

ulishawahi kupatwa ama kukumbwa na tatizo ukabaki kunena moyoni kua wewe ndie chanzo cha tatizo Hilo? nini unafanya na hua unajisikiaje?

Fuatilia Series hii ufahamu kujua na kuona jinsi watu wanavyounda matatizo ambayo huja kuwasumbua hapo baadae



Unaweza kutushauri Kwa namba za simu 0719832129

show more

Share/Embed